"Nachukia uandishi wa nyimbo za sasa" -Juma Nature Msanii wa bongo fleva Juma Nature ambaye ni mkongwe kwenye game na mmoja kati ya watu waliofanikisha kuitoa bongo fleva, amesema anakerwa na utunzi wa nyimbo za sasa. Read more about "Nachukia uandishi wa nyimbo za sasa" -Juma Nature