Halmashauri zatakiwa kuwa karibu na mabenki
Mkaguzi Mkuu wa nje wa Hesabu za Serikali Mkoani Morogoro, Peter Mwambanga amesema kuwa halmashauri ya Morogoro inatakiwa kuwa na mawasiliano ya karibu na benki inazozitumia kulipa mishahara ya watumishi wa halmashauri hizo.
