Fury ashtakiwa kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu Bingwa wa dunia uzito wa juu Tyson Fury, amefunguliwa mashtaka ya kutumia dawa zilizopigwa marufuku michezoni, na chama cha kupambana na dawa hizo Uingereza, Ukad. Read more about Fury ashtakiwa kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu