''Wasanii tutumie sanaa yetu kuwekeza'' - Nahreel

Msanii Nahreel

Msanii wa Bongo Flava anayeunda kundi la 'Navy Kenzo' Nahreel amewataka wasanii kufanya mambo ya maana wanapofanikiwa kupata mafanikio ya kazi zao za sanaa ili waweze kufaidi matunda ya nguvu kazi zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS