Samatta aikaribia Europa League

Mbwana Ally Samatta (katikati) akishangilia goli pamoja na wachezaji wenzake wa KRC Genk.

Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo atakuwa dimbani kuendelea na michuano ya kufuzu kushiriki ya Europa League wakati timu yake, KRC Genk itakapomenyana na wenyeji Cork City FC katika mchezo wa marudiano Raundi ya Tatu ya mchujo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS