Kemikali zinazobaki kwenye kuku na mayai si salama

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa nchini, TFDA, imebaini uwepo wa kemikali zinazobakia kwenye mayai ya kuku na kuku ambao tayari wanaenda kuuzwa ambazo si salama kwa afya ya binadamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS