Silaha ya kivita na risasi 122 vyakamatwa Njombe
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limekamata silaha moja ya kivita na risasi 122 zilizokutwa na watuhumiwa nane wakiwa na silaha nyingine za jadi walizo tumia kufanya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Njombe na Iringa.
