Edu Boy na Young Killer
Rapa Edu Boy amefunguka na kusema ishu iliyomfanya yeye kugomba na Young Killer ilikuwa ni pesa alizompa azishike na yeye akazitumia bila idhini yake, lakini mambo yalisuluhishwa na alimrudishia hela yake japo hakutaka arudishiwe pesa hiyo.
