Mila zinaweza kuleta maadili mazuri - Ole Nasha
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi. William Ole Nasha amesema vijana katika jamii wanatakiwa kuenzi mambo yote mema yanayofundishwa na makabila kama mila na desturi na kuacha kuiga mambo ambayo ni kinyume na jamii yetu.