EATV AWARDS siyo jambo la kudharau - Barnaba Barnaba Msanii Baranaba Elias amewataka wasanii wenzake kutodharau zoezi la uchukuaji fomu na kushiriki EATV AWARDS, na kusema ni kitu cha msingi kwao. Read more about EATV AWARDS siyo jambo la kudharau - Barnaba