Sifanyi kazi na meneja anayetafuta umaarufu - Nuh

Nuh Mziwanda

Msanii Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuzinguana na uongozi wake akiwemo Petit Man ambaye anamsimamia, amesema ameamua kuachana kabisa na uongozi huo kwa mapenzi yake mwenyewe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS