Wasanii wengi bongo ni maboya - Nay wa Mitego Nay wa Mitego Rapa Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Saka hela' amefunguka na kusema kuwa amegundua kwenye muziki wa bongo fleva saizi kuna wasanii wengi maboya akimaanisha washamba. Read more about Wasanii wengi bongo ni maboya - Nay wa Mitego