Serikali yaahidi kuboresha taasisi ndogo za fedha Majengo ya Benki Kuu ya Tanzania Serikali imeahidi kuendelea kukuza uwezo wa taasisi ndogo ndogo za kifedha nchini kutokana na uwezo wa taasisi hizo katika kuwafikia wajasiriamali wadogo. Read more about Serikali yaahidi kuboresha taasisi ndogo za fedha