Hatukufungwa na Yanga mwaka jana - Mashabiki Simba Mashabiki wa Simba Wanachama wa klabu ya Simba wamesema wanaamini msimu uliopita hawakufungwa na Yanga na wanaamini wataibuka na ushindi katika mechi zote watakazokutana na watani wao. Read more about Hatukufungwa na Yanga mwaka jana - Mashabiki Simba