Bongo Movie ni biashara ya ukichaa - Barafu

Barafu, Msanii wa Bongo Movie

Msanii wa Bongo Movie Barafu amesema biashara ya movie ni kama biashara kichaa kwa kuwa inamlazimu msanii kufanya kazi na kuipeleka kwa "Mhindi" ambaye hadi auze kwanza arudishe pesa ndipo amlipe msanii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS