Masauni awaomba watanzania kusaidia watoto yatima
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni amewaomba Watanzania kuweka utamaduni wa kuvisaidia vituo vya watoto yatima nchini.