Serikali iboreshe sera za maendeleo - Jaji Warioba
Serikali imetakiwa kuhakikisha kuwa na itikadi thabiti katika kutekeleza sera zilizowekwa na waasisi wa taifa katika kuondoa ujinga, maradhi na umasikini ili kuleta maendeleo haraka kwa wananchi wake.