Viongozi watakiwa kumuenzi Mwl Nyerere kwa vitendo
Viongozi wa vyama vya siasa wametakiwa kuiga kwa vitendo uzalendo na moyo wa kujitoa aliokuwa nao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake ili kuliwezesha taifa kupiga hatua kimaendeleo.