Mbowe, Gwajima watuhumiwa kuhusika dawa za kulevya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam leo ameingia awamu ya pili ya kupambana na dawa za kulevya na ametaja watu wanaotuhumiwa kuhusika na dawa za kulevya kwa namna moja ama nyingine. Read more about Mbowe, Gwajima watuhumiwa kuhusika dawa za kulevya