Simba yaanza kujifua kuimaliza Prisons Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi yake kujiandaa na mechi yao dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya itayochezwa mwishoni mwa wiki hii Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam. Read more about Simba yaanza kujifua kuimaliza Prisons