Yanga yateswa na majeruhi, Himid Mao aomba radhi

Mchezaji wa yanga Justine Zulu akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuumia katika mchezo wa jana dhidi ya Azam

Klabu ya Yanga imekiri kuathiriwa na majeruhi yanayozidi kuongezeka katika kikosi chake, lakini imejipa moyo kuwa majeruhi siyo mwisho wa mbio zake za kuutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS