Nikki Mbishi amuweka Prof Jay kwenye top 5

Rapa Niki Mbishi ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake' I'm sorry JK' amefunguka na kuwataja wasanii wake watano wa hip hop Bongo anaowakubali zaidi na kusema katika wote anayemkubali zaidi ni 'Heavy Weight MC' ambaye ni Mbunge wa Mikumi Prof Jay

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS