Huyu ndiye mchumba wa Ommy Dimpoz?

Picha aliyopost Ommy Dimpoz ikiashiria kuwa huyo ndiye mpenzi wake

Msanii Ommy Dimpoz ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Kajiandae' wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema ikifika wakati ataweka wazi suala la mahusiano yake kwa jamii, na kumuweka wazi mchumba wake ili watu wajue.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS