Matumla kukaa nje ya ulingo mwaka mzima

Mohamed Matumla

Baada ya Bondia Mohamed Matumla kufanyiwa upasuaji wa kichwa kutokana na maumivu aliyoyapata baada ya kupigwa na Bondia Mfaume mfaume katika pambano lisilo la ubingwa, Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili MOI, imeeleze hali yake kwa sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS