G Nako afunguka kuhusu ku-copy wimbo wa Mghana
Mkali wa hip hop kutoka 'Weusi', G Nako Warawara amekanusha zile tetesi zilizozagaa kuwa wimbo wake mpya ’Go Low’ aliofanya na Jux ni wa ku-copy na ku-paste kutoka kwa Flowking Stone wa nchini Ghana na kusema kuwa inawezekana idea zikawa zimefanana.

