Nay wa Mitego atangaza ulaji kwa mabinti Nay wa Mitego Msanii wa bongo fleva Nay Wa Mitego ametoa nafasi mbili kwa wasanii wa kike ambapo nafasi moja ikiwa ni ya muimbaji na nyingine ya msichana anayeweza ku'rap' ili amsajili kwenye lebo yake ya 'Free Nation'. Read more about Nay wa Mitego atangaza ulaji kwa mabinti