Tundu Lissu agoma kula Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa wao kama chama pamoja na familia ya Mbunge Tundu Lissu wamekubaliana na kuridhia mbunge huyo kufanya mgomo wa kutokula chochote hadi hapo atakapofikishwa mahakamani. Read more about Tundu Lissu agoma kula