Nico William hatarini kukosa Kombe la Dunia 2026

Nico Williams na Lamine Yamal

Mshambuliaji wa Athletic Bilbao, Nico Williams, huenda akakosa nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania kitakachoshiriki Kombe la Dunia 2026, kufuatia jeraha la ‘Pubalgia’ ambalo limeshindwa kupona kwa wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS