Taylor Swift msanii tajiri zaidi duniani Taylor Swift ameweka rekodi mpya katika tasnia ya burudani baada ya kufikia utajiri wa dola bilioni 2 unaotokana na muziki na ziara zake pekee. Read more about Taylor Swift msanii tajiri zaidi duniani