Serikali yaingilia kati kwa heri TikTok na Insta

Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer ametangaza mpango wa kuwasilisha mswada bungeni kabla ya mwaka kumalizika ili kupiga marufuku watoto wenye umri chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii kama vile TikTok, Instagram na Snapchat.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS