Huu hapa ubabe wa Wizkid mbele ya Davido
Licha ya 5ive ya Davido kupokelewa kwa kishindo na mashabiki duniani kote, bado hajafanikiwa kufuta rekodi iliyowekwa na Wizkid kupitia albamu yake ya Morayo kwenye Spotify. Albamu hiyo ya Wizkid inaendelea kushikilia rekodi ya kuwa na streams nyingi zaidi kwa siku moja Nigeria