Burna Boy atoa wimbo wa AFCON 2025

Wasanii

Msanii mshindi wa tuzo ya Grammy, Burna Boy, ameachia rasmi wimbo wake mpya “For Everybody” pamoja na filamu ya muziki, ikiwa ni mradi maalum aliouandaa kwa ushirikiano na Sporty Group.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS