Wallace Karia Mgombea pekee mwenye sifa urais TFF
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Wakili Kilomoni Kibamba, amesema Kati ya wagombea 6 waliochukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Tff ni mgombea mmoja tu Wallace Karia ndiye mwenye sifa za kikanuni kati yao.