Rais akilalamikiwa watumishi ndio tatizo
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi ametoa wito kwa watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao kwa weledi, ufanisi na kuzingatia maadili kwani kwa kutofanya hivyo kumesababisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awe analalamikiwa na watanzania.