Kauli Sadio Mane baada ya fainali iliyojawa vurugu
Sadio Mane
Nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane baada ya mchezo wa fainali ya AFCON uliokuwa wa vuta nikuvute amepinga kitendo cha kocha kutoa timu uwanjani akidai kitendo cha "Kijinga"