Instagram watoa jibu zito kwa CapCut Instagram imezindua rasmi app mpya ya ku-edit video iitwayo Edits, ambayo lengo lake ni kuwasaidia watengeneza maudhui kuunda video za kuvutia kwa njia rahisi zaidi. Read more about Instagram watoa jibu zito kwa CapCut