"Nicki Minaj ni Malkia ra Rap" - Rais Trump Picha ya Rais Trump na msanii Nicki Minaj Moja ya story inayotrend Marekani kwa sasa ni rapa Nicki Minaj kuonyesha hadharani kumuunga mkono Rais wa Marekani Donald Trump akisema ni Rais wake kipenzi na bora wa muda wote. Read more about "Nicki Minaj ni Malkia ra Rap" - Rais Trump