Ibraah aongea baada ya kutoka BASATA Picha ya Ibraah Kimefanyika kikao cha Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na msanii Ibraah juu ya kinachoendelea kati yake na lebo ya 'Konde Gang Music' ambapo Harmonize hajatokea katika kikao hicho. Read more about Ibraah aongea baada ya kutoka BASATA