Burna boy kuachia album Julai 11 Msanii maarufu wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Burna Boy ametangaza kuachia albamu yake mpya iitwayo "No Sign Of Weakness" ambayo inatarajiwa kutoka rasmi tarehe 11 Julai 2025. Read more about Burna boy kuachia album Julai 11