Picha ya Niffer
Niffer ameshena nasi mtazamo wake kuhusu hilo baada ya kuandika
"Asilimia kubwa ya mahusiano yanayoharibika ni watu kurudi kwa ma-EX zao, watu wanapenda sana EX zao, ndio maana Mungu alizua zinaa".
"Kutooa au kutoolewa ni kitu muhimu sana, maana moja kwa moja unajikuta umefanya ulinganisho hata kama unajua binadam hatuwezi kuwa sawa kwa hiyo unarudi kwa uliyemzoea".
Ipi comment yako na wewe katika hili?








