Ufaransa watawala Kombe la Dunia
Baada ya usiku huu kushinda mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Ubelgiji kwa bao 1-0, Ufaransa sasa imetinga fainali ya kombe la dunia kwa mara ya tatu ndani ya miaka 20 na kuwa taifa lililofika fainali mara nyingi zaidi katika miaka hiyo.