CHADEMA yafuta kauli ya Makarai Buyungu
Baada ya Kamati Kuu CHADEMA kupitisha jina la Elia Michael kuwa mgombea wa kiti cha Ubunge katika jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana chama hicho, Patrick Ole Sosopi amedai kitendo hicho kitaondoa uongo uliowahi kuenezwa kwamba vijana wa chama chao ni makarai.