Mahakama yashindwa kutoa hukumu ya Mbunge
Mahakama ya wilaya ya Mbozi imeshindwa kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa jimbo hilo, Ndg. Pascal Haonga (CHADEMA) baada ya kudaiwa kwamba mchakato wa hukumu haujakamilika kulingana na uzito wa kesi.