“CHADEMA, ACT hakuna wanachama”- Mwenyekiti CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kigoma, Amatus Nzamba amesema kuwa kuungana kwa vyama vya upinzani katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyugu ni dhahiri kwamba vyama hivyo havina wanachama.