Baada ya JPM kutekeleza, Heche amshangaa Waziri
Baada ya Rais John Pombe Magufuli kufanya utenguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya mifuko ya Jamii, (SSRA) Dr. Irene Isaka, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amedai kwamba atashangazwa kama Waziri ataendelea kuwepo ofisini.

