Serengeti Boys wasababisha TFF kuvibana vilabu
Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linakuja na mpango wa kutengeneza mkakati wa kusaidia vipaji vya vijana wa Serengeti Boys viweze kuendelezwa kupitia kuvibana vilabu vya ligi kuu viweze kuwapatia nafasi.