Mbunge kuja kivingine hoja ya Rais kukaa miaka 7

Mbunge wa Jimbo la Chemba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Nkamia.

Mbunge wa Jimbo la Chemba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Nkamia amesema kwa 2019 ataanza upya mpango wa kuwasilisha hoja yake ya kufanyika kwa uchaguzi kila baada ya miaka 7, licha ya kubainisha atakutana na ukosoaji mkubwa kutoka kwa baadhi ya wabunge wenzake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS