Liverpool imeifunika 'Ubeaten' ya Arsenal 2003/04
Kuelekea mchezo wa ligi kuu ya England kati ya vinara wa ligi hiyo Liverpool dhidi ya Arsenal, rekodi ya Liverpool kutopoteza mchezo imekuwa bora zaidi kuliko ilivyokuwa ya Arsenal kwenye michezo 19 msimu wa 2003/04.

