Jide apata upinzani kwa Usher Raymond
Komando wa Bongofleva anayeendelea kufanya vyema kwenye game, Lady Jaydee amekutana na upinzani wa nguvu baada ya kuweka wazi dhamira yake ya kumuona mwanamuziki wa kimataifa katika tamasha lake la 'Vocals Night'.

