Pichani, Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda kushoto, Rapa Chid Benz kulia
Baada ya ukimya mrefu kwenye game ya Bongofleva, Rapa Chid Benz 'Chuma' ameeleza kwamba Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, ameamua kumsapoti katika kazi zake kwa mwaka 2019.